Usemi Wa Mwananchi Kupitia Maandamano-Gbs Jumatatu Show

Posted on 07/07/2025
|

Maandamano yanapozidi kuwa jambo la kawaida katika usemi wa kiraia wa Kenya, tunauliza: Je, maandamano bado ni nyenzo mwafaka kwa mwananchi wa kawaida kusikilizwa?

Jiunge na mazungumzo na ushiriki mawazo yako kuhusu jinsi Wakenya wanaweza kutoa sauti zao vyema

World Best Broadcasting Station
SUBSCRIBE by clicking this link
https://www.youtube.com/c/gbstvkenya/?sub_confirmation=1